UTATUZI WA TATIZO

 UTATUZI WA TATIZO LA KUWAHI KUFIKA KILELENI
1.      Mazoezi
Mazoezi husaidia kuweka mifumo mbalimbali ya mwili katika hali ya afya njema na hili husaidia mzunguko mzima wa kiutendaji kuwa sawia yapo aina aina ambayo yatakusaidia kipekee kabisa maalumu kwa kudhibiti hali hii Jifunze aina za mazoezi hapa jinsi ya kufanya.au kanuni ya kwanza ya utakayofanya ukiwa nyumbani

2.      Utulivu na kuepuka Mawazo
Kutuliza mawao ni hatua ya msingi sana unayoweza kuitumia kulidhibiti tatizo hili, Zipo njia zakukufanya uweze kutuliza mawazo jaribu hizi Oga maji ya uvugu vugu, fanya masaji mara kwa mara, tunga taswira (meditation) fanya zoezi la kuvuta pumzi kwa wingi ndani ya kuzuia kwa kitambo kidago (deep breath), jitahidi kuondokana na hisia ama Msongo (sonona)
3.   Weka ratiba ya kufaya tendo la ndoa na mke wako kiafya unashauriwa kufanya tendo mara tatu kwa wiki
4.   Badilisha mazingira kama unao uwezo kidogo kifedha unaweza kufanya ziara mahali patulivu pamoja na mke wako maalumu katika swala zima la kuboresha mahusiano.
·     VYAKULA MUHIMU KWAAJILI YA MATIBABU YA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME 
Kuna aina ya vyakula ambavyo kama utavila utakuw a umejitengenezea fursa kubwa ya kuboresha na kirudisha hali bora ya kuwa na nguvu za kutosha ufanya tendo la ndoa bila mashaka tena wala hofu
Aina ya vyakula unapaswa kuvifahamu
1.    Omega-3
2.   Vyakula vyenye L-Arginine
Hii ni jamii ya nafaka na mizizi kama unga wa shayiri, korosho, njugumawe, karanga, ufuta, maziwa, maharagwe ya soya, unde, na mboga za majani.
3.   Vyakula vyenye zinc:
Zinc husaidia uzalishaji wa testosterone homoni, na kuongeza kiwango cha shahawa, vyakula ni Parachichi, ndizi, tango, korosho, maharage ya choya, mayai, kaa wa pwani, jibini(cheese), samaki, vitunguu, saladi, ndimu, karanga, figili, bata mzinga, njugu mawe, mtindi, spinachi na strobili.
4.   Vyakula vyenye madini ya chuma
Samaki, dagaa, aspagara, kiazi kitamu, spinachi, chaza,maharage meusi, mahindi, mchele, ngano, maharage ya soya, maziwa na nyama
5.   Vyakula nyenye amino asidi
Tini (figs) husaidia sana kuupa mwili kiwango kikubwa cha amino aside
6.   Vitamin ni muhimu sana katika mwili zipo aina mbalimbali za vitamin ambazo zinapaswa ziwe katika mlo wako  aina hizo ni Vitamin B5, B6 vitamin A, C
Ambazo hizi zote waweza kuzipata kwenye vyakula vifuatavyo Mayai, pichi(peaches) maharage meusi, matunda kama embe, chungwa. 
·     Kula matunda kwa wingi, kunywa maji ya kutosha maana maji hufanya asilimia 75% ya mwili wa binadamu, Pia jitahidi sana kupunguza mafuta katika milo yako yote maana mafuta huathiri mtiririko wa Damu katika mfumo mzima wa mzungiko wa damu na hasa katika uume. Acha uvutaji wa sigara na unywaji wa Pombe kupindukia na madawa ya kemikali
·     JITIBABU MWENYEWE TATIZO LA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME UWAPO   NYUMBANI
Vyakula ambavyo vinaweza kukusaidia kijitibu uwapo nyumbani ili kumaliza kabisa tatizo la upungufu wa nguvu za kiume na kuwahi kufika kileleni.
1.    Kitunguu swaumu
kanuni 2.    Kitunguu maji
3.    Aspagara
4.    Karoti
5.    Tangawizi
6.    Asali
7.    Maziwa
8.    Mayai
9.    Maua ya mkwiro
·     Jinsi ya kuandaa / KANUNI za kutengeza MCHANGANYIKO huu wa chakula hiki na matumizi yake maana hii hutumiwa na kuanza kuonyesha matokeo ndani ya siku kumi.
Jambo la muhimu ni kwamba umeshajua ya kuwa tatizo la kuwahi kufika kileleni lina ufumbuzi wake ambao kama utaweza kuzingatia utamaliza kabisa tatizo hili, hali kadharika tatizo ya upungufu wa nguvu pia linaufumbuzi ambao unahitaji taratibu za msingi kufuatwa kama ilivyo ainishwa hapo awali, pia waweza pata KANUNI mbalimbali za jinsi ya uandaaji wa vyakula ili kufanya wepesi zaidi maana kanuni hizi zimefanyiwa utafiti na kuonyesha matokeo ya haraka na bora zaidi.

 Rudi ukurasa ulio pita                                   Wasiliana na Mshauri
  
 
 

No comments:

Post a Comment


widget