Kanuni ya kwanza

Jitibu kuzuia tatizo la kuwahi kufika kileleni Ukiwa Nyumbani.

*Mbegu za vitunguu vya kijani  (Green onion seed) zina uwezo mkubwa wa kutibu hali ya kuwahi kufika kileleni mapema, jinsi yakutumia chukua Glasi ya maji na uweke kijiko kimoja cha mbegu hizi kisha koroga na unywe kila siku Glasi moja kabla ya kula kila mlo.

*Maziwa ya Almond ni njia nzuri sana ya kutibu hali ya kuwahi kufika kileleni, jinsi ya kufanya chukuwa mbegu kumi za Almond na uziloweke kwenye maji usiku mzima, kisha towa maganda, kisha tia mbegu zilizotolewa maganda ndani ya blenda, changanya na glasi moja ya maziwa ya moto, na pinchi moja ya Tangawizi ya unga, Mdalasini na Hiliki saga pamoja kwenye blenda na unywe mchanganyiko huu kila asubuhi.
*Kufanya Massaji kwenye eneo karibu na prostate Gland hili ni eneo lililopo kati ya korodani na eneo la haja kubwa pia ni ya msaada mkubwa sana, tumia mafuta ya castor kuchua eneo hilo kwa mwendo wa kuzunguka na kugonga taratibu kila siku. 

  







*Unywaji wa Pombe kupindukia na uvutaji wa sigara ni moja ya sababu zinazomfanya mtu kuwahi kufika kileleni hivyo basi uonapo dalili hizi ni vyema kuacha unywaji na uvutaji sigara mapema sana. 
  
*Jumuisha katika kila mlo wako vyakula vya mazao ya bahari kama Samaki, Shellfish, Pweza na Tangawizi, hivi ni vizuri sana katika kuongeza nguvu ya afya ya uzazi na jimai. 
*Chemsha Glass moja ya maziwa na uchanganye  na kipande kimoja cha Tangawizi na kijiko kimoja cha chai cha Asali Sieve the mazima kisha kunywa kila siku hii pia ni dawa nyingine ya kupunguza hali ya kuwahi kufika kileleni ambayo unaweza kuiandaa ukiwa nyumbani.
*Pendelea  kula mara kwa mara vitu asilia vya aina ya aphrodisiacs kama vile nidzi, celery, fennel, carrots, na vitunguu ili kuweza kudhilibiti hali ya kuwahi kufika kileleni.   
*Kula punje ama vikonyo vya kitunguu Swaumu kila siku pia ni nzuri kwa Upande huo wa kudhibiti tatizo hili na husaidia kuongeza Ashki ya tendo la ndoa.
*Jifunze jinsi juu ya mazoezi ya kupumua na vuta Taswira (kufanya Meditation), kama nilivyoainisha kwenye maelezo ya awali hali ya kuwahi kufika kileleni huchangiwa wakati mwingine na kuathirika kisaikolojia na hivyo kijifinza kufanya mbinu hizi zitakusaidia utulivu wa Akili na mtazamo makini wa mbeleni. Mawazo na Msongo huchangia tatizo hili hivyo Meditation itasaidia kuondokana na tatizo.


 Rudi Ukurasa uliopita          Mshauri                                           


   

No comments:

Post a Comment


widget