DailyvalueHatch Egg
Incubators
Mtazamo wa Kijasiliamali.
Mtazamo wa Kijasiliamali.
Je unapanga kuanza mradi wa kuku au kutotoresha vifaranga? Kama ni hivyo
basi dailyvaluesHatch ni jibu lako. Tunatengeneza na kuagiza Incubator kwaajili
ya wajasiliamali wadogo wadogo na wa kati wanaotaka kuanzisha uzalishaji
binafsi wa kuku na pia Incubator kwaajili ya Uzalishaji wa majumbani. Hii ni
njia rahisi na yenye kuleta faida kubwa sana/kipato ukilinganisha na mtaji wa
kuanzia ambao ni mdogo sana. Haihitaji Taaluma yoyote kubwa katika kuanza mradi
huu maana pia tunatowa mafunzo muhimu yapasayo ili kukuwezesha kuendesha
uzalishaji na biashara yako kwa mafanikio na ufanisi mkubwa.
Kama unavutiwa na kuanza utotoreshaji wa vifaranga vya kuku wewe mwenyewe
unahitaji vifaa kama Incubators ili uweze kuanza. dailyvaluesHatch itakupatia vifaa vyote muhimu vinavyohitajika ili
uweze kuanza sasa mradi / biashara yako ya uzalishaji vifaranga vya kuku.
Kwanini kuanza Uzalishaji wa vifaranga?
Jibu ni fupi sana – hii ni biashara yenye faida kubwa sana maana bado upo
uhitaji mkubwa sana wa kuku barani Africa. Ufugaji wa kuku ni Nyanja inayokuwa
kwa kasi kubwa sana barani Africa. Nyama ya kuku ni chanzo kikubwa cha protein
mwilini na uhitaji wake unaendelea kuongezeka siku hadi siku kwa kasi.
Je ninahitaji pesa nyingi kuanza uzalishaji wa kuku?
Hapana Hauhitaji pesa nyingi! Unaweza kuanza na mtaji mdogo sana kuanza
uzalishaji na uuzaji vifaranga na mayai unayozalisha, wa kienyeji au kisasa.
Je ni wapi nitapata vifaa nani vitu gani vinahitajika ili kuanza Uzalishaji.
Utapata vifaa vyote vinavyohitajika kutoka
dailvalueHatch. Tunavyo vifaa vyakutosha tunatoa na kuagiza vifaa bora vilivyopo sokoni
na kwa ghalama nafuu sana.
Kitu cha muhimu zaidi unahitaji ni kuanza
nacho ni kwanza uwe Incubators na pili mayai yaliyo rutubishwa( yaliyo na kiini
hai). dailyvalueHatch tunazo incubator bora sana ambazo tayari sokoni wa
guarantee ya miaka miwili. Nunua dailyvalueHatch (dht) Incubator kwetu ukiwa na
uhakika kuwa unanunua kifaa kilicho bora na imara
kitakacho kufaa katika kukuongezea pato.
DailyvalueHatch Incubator (dht dv Model 120)
Hii ni
Incubator yenye ubora wa hali ya juu na inauwezo wa kutotoresha idadi ya jumla
ya mayai 120 kwa siku 21na hufanya kazi hiyo yote automatic hii ikiwa pamoja na
ugeuza ji wa mayai na uthibiti wa unyevunye ndani ya incubator.
Je Unaanzia
Wapi?
Jambo la kwanza la muhimu ni
kuamua je unahitaji kuzalisha idadi gani ya vifaranga kwa wiki au kwa mwezi
nani kiasi gani cha fedha ambacho umekiweza kwaajili ya mradi huo. Punde
utakapojua ni kiasi gani umetenga kwaajili ya kununua vifaa angalia taratibu za
mfumo wa uzalishaji kisha chagua aina ya
dailyvalueHatch Incubator itakayo kidhi mahitaji yako kwa sasa mashine kubwa
kabisa tunazotoa ni zenye uwezo wa kubeba mayai ya kuku 120-240. Kama unahitaji
ushauri zaidi juu ya chaguo la ni Incubator ipi ya kununua jisikie huru
wasiliana nasi na tutakushauri kwa umakini kupitia mydailyvalues. Anza sasa
kujipatia kipato cha ziada kwa kutupigia simu au tutumiebarua pepe kupitia mydailyavules
No comments:
Post a Comment