Man

UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME.

Wanaume wengi katika zama zetu wamekuwa wakipata matatizo yanayohusu upungufu wa nguvu za utendaji katika swala zima la tendo la ndoa na familia hasa katika kutimiza haki ya ndoa (jimai).Zipo sababu nyingi sana zinazochangia upungufu huu.

1. Msongo wa mawazo
2. Magonjwa ya Akili
3. Shinikizo la damu
4. Uvutaji wa sigara na unywaji wa pombe kupindukia
5. Kisukari na magonjwa ya Moyo

Pia ukosefu wa virutubisho muhimu mwilini, kutokana na ulaji usio sahihi kwa kujua ama kutokujua mchanganyiko wa mlo ulio kamili, matatizo ya kupungua nguvu za kiume yanakuwa magumu zaidi pale ambapo yatakuwa hayapati ufumbuzi ulio sahihi kwa wakati sahihi, na jambo baya zaidi ni pale mtu aliye na tatizo kuanza  matumizi ya madawa ya kemikali ambayo yamejichukulia umaarufu sana katika zama za sasa za utandawazi, ambayo huwa yanamsaada wa muda mchache tu na kisha humuacha mtumiaji katika hali ya utegemezi wa madawa haya katika maisha yake yote.
JE UMEWAHI KUPATA TATIZO HILI?

Je umewahi kupatwa na tatizo la upungufu ama unapitia katika hali hii ya kuishiwa nguvu za kiume basi, na amini kwa kupitia safu hii utapata Suluhisho la tatizo na njia rahisi na nyepesi sana kimaliza tatizo. Utajifunza na kuelewa jinsi ya gani utaweza kudumisha hali ya kuchelewa kufika kileleni, na pia utaweza kudumisha hali ya uume kusimama kwa muda mrefu. Na hii ni kwa kusudi moja tu! ya kuiweka ndoa yako katika furaha na amani pale ambapo utaweza kumridhisha mke wako kufikia kilele cha furaha katika tendo ndoa.  

NINI MAANA YA NGUVU ZA KIUME?
Nguvu za kiume neno linalotumika mara nyingi kueleza uwezo wa mwanaume kufanya tendo la ndoa. Upungufu wa nguvu za kiume hutofautiana Kama ifuatavyo:
·        1. Kutokuwa na uwezo wa kusimamisha uume bararaba kwaajili ya tendo la ndoa               

         2. Kuwahi kufika kileleni na kushindwa kuendelea na tendo
·     Jambo la msingi kufahamu ni kuwa nguvu huwa hazitokani ya dawa za kemikali au kitu kingine chochote bali hutokana na nguvu ya uwezo wa lishe / chakula tunachokula.
NINI SABABU ZA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME KUONGEZEKA?
  •  Elimu ndogo ya Afya
  • Aina ya maisha
  • Unywaji wa Pombe
  • Ukosefu wa Mazoezi
  • Magonjwa kama Kisukari, Moyo
  • Hisia kama Msongo(sonona), wasiwasi, hasira, huzuni, hofu nk
  • Shinikizo la damu
  • Matumizi ya baadhi ya madawa ya kemikali pasipo ushauri wa kitaalamu
MFUMO WA MZIMA ILI UWEZE KUSIMAMA
Mfumo mzima unaofanya uume usimame uko hali complex ambayo bado utafiti unaendelea kufanyika ila kwa urahisi vipo vitu muhimu vinavyohitajika ili mfumo huu uweze kufanya kazi ipasavyo.
  • 1.    Mfumo wa neva ulio kamili na wenye afya yakotosha ili kupeleka mpwito neva (nerve impulse) katika ubongo, uti wa mgongo kisha wenye uume.
  • 2.    Mishipa ya damu aina ya ateri iliyo na afya ndani na iliyo karibu na Corpora Cavernosa.
  • 3.    Misuli laini na tishu za ufumwele( fibrous tissues) ndani ya corpora cavernosa
  • 4.    Kiwango sahihi cha Nitric Oxide ndani ya uume.
                                              

Na hivyo kushindwa kusimama kwa uume kunaweza kusababishwa na kati ya mifumo iliyotajwa hapo juu, lah mmoja au miwili kati ya, kutokufanya kazi vizuri ama kuwa na tatizo la kimfumo au ndani ya mfumo mzima wa utendaji ambao hutegemeana kwa sehemu kubwa. Hali ambayo chanzo cha tatizo chaweza kuwa kama ilivyo ainishwa hapo awali ambayo ni umri, maradhi kama kisukari, shinikizo la damu, Maradhi ya Moyo, Uvutaji Sigara, Maumivu ya mgongo na nyonga ama madhara katika uti wa mgongo, Madawa ya kulevya kama bangi, milungi, Heroin, kokein na Pombe, kiwango kidogo cha homoni ya testosterone, pia zipo baadhi ya dawa zinazotumika kutibu baadhi ya magonjwakama ya Moyo shinikizo la Damu na kifafa nk.
 
KUWAHI KUFIKA KILELENI/ PREMATURE EJACULATION
Kuwahi kufika kileleni ni hali ya kutowa manii(shahawa) kwa kiwango kidogo au kabla au mara tu wakati wa tendo la ndoa lenyewe ama muda mfupi tu baada ya uume kuingia katika utupu wa mwanamke, jambo hili huhuzunisha baina ya wana ndoa maana ambapo mwanaume hufika katika upeo war aha (orgasm) huku akimuacha mwanamke angali kufika kileleni, stadi zinaonyesha takribani asilimia 30-45% ya wanaume wa rika wana tatizo hili.
·     SABABU ZINAZOCHANGIA KUWAHI KUFIKA KILELENI
1.    Maambukizi ya aina Fulani ya maradhi katika via vya uzazi
3.    Uzinzi tafiti zinaonyesha kuwa mtu ambaye hakuwahi kufanya uzinzi tangu kubaleghe ama amefanya kwa uchache huwa anakuwa na nguvu nyingi za kiume na anachelewa kufika kileleni kuliko mtu ambaye tangu kubaleghe amekuwa akifanya uzinzi.
4.    Kutokuwa na Elimu ya kujitambua jinsi ambavyo mifumo mwili yetu inavyofanya kazi.


widget