Madhara ya kujichua/Punyeto

KUJICHUA/PUNYETO NA MADHARA YAKE. (MASTURBATION)
Uchuaji wa mara kwa mara na kutokwa kwa manii huchochea mwitiko wa mwili unaofanya kazi ya kikemikali mwili iitwayo Acetylcholine/parasympathetic nervous kufanya kazi na hivyo kusisimuliwa kuliko kidhili husababisha mwili kuzalisha Sex homoni nyingi sana na Neurotransmitters kemikali mwili kama acetylcholine, dopamine and serotonin kwa wingi sana.
Matokeo
Wingi usio kawaida na kiwango kikubwa cha Sex Homoni na Neurotransimitters hupelekea Ubongo na Adrenal Glands kufanya mabadiliko mbadala wa Kemikali ya dopamine-norepinephrine-epinephrine na kwa tendo  huufanya Ubongo na Mwili kuwa na mwitiko mwendeleo isiyosubiri ushawishi (sympathetic) Kwa maneno mengine ni kuwa kuna mabadiliko makubwa ya mfumo wa kikemikali wa mwili (body chemistry) endapo Uchuaji (masturbation) utafanywa kuzidi sana / excessively.
Masturbation/Uchuaji kama tabia nyinginezo unapoifanya mara kwa mara huzoeleka na kumfanya mtu kuathilika kisaikolojia na kifizikiolojia na kuwa katika hali isiyo ya uwiano sawia ya mifumo husika.
Madhara ya Mabadiliko Hayo ya mwili hujumuisha:
  • Uchovu wakati wote / Fatigue. Feeling tired all the time.
  • Maumivu ya nyonga / Lower back pain.
  • Kusinyaa kwa Nywele / Nywele kunyonyoka / Thinning hair / Hair Loss
  • Uume dhaifu wakati wa kusimama / Soft / Weak Erection
  • Kufika mapema kileleni / Premature Ejaculation
  • Kupoteza ung’aavu wa uono /fuzzy vision
  • Maumivu ya kende / Groin / Testicular Pain
  • Maumivu ya kiuno / Pain / cramp in the pelvic cavity or/and tail bone
Je hujichua mara ngapi ni zaidi ya sana kuzidi?
Inategemea ila mtu anaweza kujamiiana mara mbili mpaka tatu kwa wiki katika hali ya kawaida ya tendo la ndoa. Ingawaje tendo la ndoa linaweza kufanyika mara nyingi zaidi pale ambapo mwanaume atajifunza kufikia kutika kilele cha Raha (orgasm) bila ya kutoa manii (shahawa) na kwa kufanya hivyo atajihifadhia nguvu ya kibaiolojia katika mfumo wake na kuufanya Uume kuwa wenye nguvu na kuendelea na mwendo kwa muda mrefu zaidi na mwishoni kupata mshindo wenye ujazo tosha mkubwa na ulio katika viwango vya ukweli.
Masturbation /kujichua ni sehemu ya maisha ya Jimai na baadhi ya madaktari hushauri siyo tu kuongeza uzoefu katika tendo la ngono ila pia katika kuboresha afya kwa ujumla wake. Ingawaje kuzidi kwa kila jambo hata kama ni jema huwa baya, vivyo hivyo kukidhili kwa ufanyaji wa uchuaji husababisha dalili kama Uchovu, Msongo kupoteza kumbukumbu na kwa watu wengine Hupata Hali yakutoweza kuzalisha au kutosimamaisha/ kusinyaa kwa uume na pia  kupoteza nywele ama nywele kunyonyoka.

Katika hali na mazingira Fulani Uchuaji si mzuri wala si mbaya.
Stadi za karibini zimeonyesha kuwa asilimia 87% ya wanawake na 95% ya wanaume wamewahi kufaya Uchuaji na baadhi waliofanya Uchuaji wa kukithili walipata matokeo ya mabadiliko ya mfumo wa utendaji kazi wa Ubongo na Kemikali ya mwili (body chemistry).
 Symptoms/ dalili (pia hujulikana kama mfadhaiko wa Jimai) huu ni Msongo wa Ini na mfumo wa fahamu, ambao hujumuisha hali ya kushindwa kwa Uume kusimama au kusimama kwa muda mfupi tu( hii ni pamoja na usimamaji dhaifu wa Uume) na pia kutokwa na manii / ( shahawa) (seminal leakage) pasipo kujijua ama kutaka. Wakati asilimia zaidi ya thelathini 30% ya wanaume wamewahi kupatwa na tatizo la Uume kushindwa kusimama au kuwa dhaifu unapo simama. 
Uchuaji Uliokithili unaweza kusababisha tatizo la kutokwa/kuvuja kwa Manii (seminal leakage) 
Hali hii ni pale ambapo shahawa ama manii hutoka kwenye Uume bila hata ya Uume kusimama. Kutokwa na Manii na hali ya kuishiwa nguvu vyote hivi husababisha kuwepo na unyanya paa binafsi na kutokujiamini na hizi ni dalili za Msongo/Mfadhaiko wa Jimai.(sexual exhaustion ) 
Acha Hali ya Tabia ya mazoea ya kufanya Uchuaji kwa Kufanya yafuatayo:
Hatua ya kwanza ni kupunguaza Uchuaji na Utoaji manii; jaribu kuachana na tabia hii mbaya. Kula chakula cha aina ya Jamii ya maharage ya Soya na upunguze utumiajia wa vinywaji na vyakula vyenye Caffeine mfano kahawa katika mlo wako, pia acha ama punguza uvutaji sigara. Jitahidi kutumia Jamii ya nafaka na mbegu kama Alizeti, korosho, karanga, kula zaidi vyakula vya mazao bahari( sea foods) kama seaweed, mboga mboga na pia jaribu kupunguza ulaji wa Nyama Nyekundu na maziwa, na badala ya Soda kunywa Juice ya Machungwa, cranberry Juice na pia unywe Maji kwa wingi.
Zipo Dawa zilizotengenezwa kwa Viasilia asili kutoka katika makampuni mbalimbali dunia ambazo zinaweza kumsaidia mtu aliyeathilika na kati ya matatizo yaliyotajwa hapa na zaidi ya Haya ambazo ninazifahamu na ninaweza kushauri Utumie ila awali ya yote Tumia kwanza Taratibu za vyakula ambazo Ukifuata Kanuni hutakuwa na Haja ya kuingia Ghalama kubwa za kununua Madawa  Haya ambayo kimsingi yametengenezwa kwa vyakula tunavyokula kila siku pasipo kujua umuhimu wa baadhi ya viasilia vilivyomo ndani yake. Jifunze zaidi njia ya uandaaji wa vyakula dawa.

1 comment:

  1. Asante sana kwa ushauri, lakini nilikuwa nauliza vipi Mtu kama alikuwa anafanya kitendo hicho katika umri wa miaka 17 kisha akaacha akiwa na umri wa miaka 19 je madhara yake yanaweza kujidhihirisha katika mwili wake?

    ReplyDelete


widget