Tuesday, November 27, 2012

Arthritis Pain


 Ugonjwa wa Viungo Maumivu na Uvimbe. Arthritis Pain.
Wataalamu wa lishe wanapendekeza kuchua kwa kutumia mchanganyiko wa sehemu moja ya asali pamoja na sehemu mbli za maji vuguvugu na kijiko kimoja (cha chai) chenye mdalasini - na kuchua sehemu zilizoathirika. Nafuu hupatikana katika muda wa dakika moja.
Vinginevyo tengeneza chai-kikombe kimoja chenye maji moto, weka vijiko vya chakula -viwili vya asali kwa kijiko cha chai cha mdalasini. Kunywa asubuhi na jioni ili kuondoa maumivu. Katika tafiti iliyofanyika hivi karibuni na chuo kikuu kimoja huko Copenhagen, madaktari waliwapa wagonjwa 200, (syrup) mchanganyiko wa kijiko kimoja *cha chai* cha asali na kimoja cha mdalasini kila asubuhi kabla ya kifungua kinywa. Asilimia 73% yao waliripoti nafuu kubwa ya maumivu yao na ongezeko katika kufanya shughuli kama kuogelea na kutembea vyema.

ARTHRITIS NI NINI?
Arthritis, au ugonjwa wa kuvimba viungo ni moja kati ya matatizo yanayowapata na kuathili watu wengi katika miaka ya ya karibuni na husababisha maumivu makali mwilini. Huathili misuli hasahasa baina ya mifupa miwili iliyoungana na kufanya kiungo (joint) mfano kiungo kati ya mfupa wa paja na mguu kufanya goti, au kiungo kati ya mifupa ya paja na kiuno. Dalili kubwa ya Arthritis ni pale ambapo maumivu makali katika kiungo husika pale unapotaka kutembea, kufanya kazi Fulani inayohusisha kiungo husika.

No comments:

Post a Comment


widget