Sunday, October 2, 2011

Nyama ndani ya pua

NYAMA NDANI YA PUA (NASOL POLYPS)
Nyama ndani ya pua/ Nasal polyps
Nasal polyps hizi ni aina ya vimbe zinazojitokeza toka katika kiwamboute ndani ya pua na paranasal sinuses.( aina yavitundu ndani ya pua). Ni uotaji wa mucosa uliozidi kawaida ambao mara nyongi huambatana na Allergic Rhinitis na pia huwa haviumi na ni huru katika mwenendo ndani.( Freely movable)
Maelezo juu ya Nyama za pua (Nasal polyps)
Nyama za pua (Nasal polyps) mara nyingi zinawekwa katika makundi  mawili ambayo kitaalamu yanajulikana kama antrochoanal polyps na ethmoidal polyps. Antrochoanal polyps huchipua ama kuota toka katika vijitundu viitwavyo maxillary sinuses na hizi huwa ni mara chache kuwapata watu.  Ethmoidal polyps hizi hichipua ama huota toka katika vijitundu viitwavyo ethmoidal sinuses. Antrochoanal polyps mara nyingi huadhili tundu moja ya tu pua  wakati ethmoidal polyps huwa ni nyingi na huathili tundu zote za pua.
Dalili za mtu mwenye nyama za pua
Mara nyingi mtu mwenye nyama aina hii huhisi pua kuziba, sinusitis, kupoteza hali ya kunusa harufu ain yoyote, kupata maumivu ya kichwa. Pamoja na kuziondoa kwa njia ya upasuaji nyama hizi huwa zinatabia ya kujirudia kuota tena, karibu asilimia 70% ya upasuaji hujirudia. Upasuaji unahitaji umakini mkubwa ili kuepusha uharibifu wa maeneo mengine  ndani ya pua na jicho (orbit matter).
Kuna aina kuu 2 za nasal polyps.
  • 1. Antrochoanal
    • a. Moja (Single), Huathili tundu moja (Unilateral)
    • b. Can originate from maxillary sinus
    • c. Hasa huwapata watoto (Usually found in children).
  • 2. Ethmoidal
    • a. huathili tundu zote mbili (Bilateral)
    • b. Mara nyingi huawapata watu wazima (Usually found in adults).
Visababishi
Namna  nyama za pua zinavyojitokeza bado haifahamiki, ila inafikirika kuwa nyingi husababishwa na Allergy na kwa uchache cyst fibrosis.
Aina ya magonjwa yanayo ambatana na utekeaji wa nyama za pua.
  1. Chronic rhinosinusitis
  2. Asthma
  3. Aspirin intolerance
  4. Cystic fibrosis
  5. Kartagener's syndrome
  6. Young's syndrome
  7. Churg-strauss syndrome
  8. Nasal mastocytosis
Exposure to some forms of chromium can cause nasal polyps and associated diseases.
Matibabu.
Nasal polyps mara nyingi hutibiwa kwa njia ya upasuaji, aina ya steroids za kupaka nk. Kama nilivyokwishasema awali kuwa asilimia 70% ya upasuaji wote unaofanyika  kuondoa polyps hujirudia hivyo ipo njia rahisi na nyepesi ya kuepukana na polyps na usumbufu wakukosa radha ya harufu ndani ya masaa kumi na mbili tu utakuwa huru kabisa kwa kutumia t1 soln. t1 solution ni kiasilia kilichotengenezwa kwa mafuta ya karafuu pamoja na aina ya spices zinazopatikana africa ikiwemo Tanzania visiwani. Hili  linawezekana kabisa sasa unachopaswa kufanya na kwa ushauri zaidi ili kuondokana na tatizo hili, wewe au ndugu yako waweza nitumia barua pepe kupitia mydailyvalues


 

No comments:

Post a Comment


widget