Ugonjwa wa Viungo Maumivu na Uvimbe.
Arthritis Pain.
Wataalamu wa lishe
wanapendekeza kuchua kwa kutumia mchanganyiko wa sehemu moja ya asali pamoja na
sehemu mbli za maji vuguvugu na kijiko kimoja (cha chai) chenye mdalasini - na
kuchua sehemu zilizoathirika. Nafuu hupatikana katika muda wa dakika moja.
Vinginevyo tengeneza
chai-kikombe kimoja chenye maji moto, weka vijiko vya chakula -viwili vya asali
kwa kijiko cha chai cha mdalasini. Kunywa asubuhi na jioni ili kuondoa maumivu.
Katika tafiti iliyofanyika hivi karibuni na chuo kikuu kimoja huko Copenhagen,
madaktari waliwapa wagonjwa 200, (syrup) mchanganyiko wa kijiko kimoja *cha
chai* cha asali na kimoja cha mdalasini kila asubuhi kabla ya kifungua kinywa.
Asilimia 73% yao waliripoti nafuu kubwa ya maumivu yao na ongezeko katika
kufanya shughuli kama kuogelea na kutembea vyema.
ARTHRITIS NI NINI?
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhEApms4_XEhNAt2v2D2ZlWRWcmA2t0v_xJeyQi5rpDmASniVpeJfh4ubvb_LJ6juImYQ_n22zuhaxJTS2qk0gtOYbKRVnn9zwiFGfGYWqPPRwqYQYXBZoP2PJ8faKgxcly7RbJAralOCDn/s320/mdalasini+joint.png)
No comments:
Post a Comment