Wawezakufurahia
vyakula vyote unavyopenda, kuwa na afya nzuri na kupunguza uzito wa mwili ambao
hauhitajiki kwa kula chakula chenye nguvu na ladha nzuri, kilichojaa vitu
viwili muhimu vya asili ambavyo ni asali na mdalasini.unachohitajika kufanya ni
kuhakikisha unavitumia vyote kwa kiasi katika mapishi yako. Vilevile, wataalamu
wanasema unaweza kuondoa mabonge ya uvimbe wa nyamanyama nje ya mwili kwa
kuanza siku yako kwa kutumia vijiko viwili vya asali iliyochanganywa na kijiko
kimoja cha mdalasini ndani ya bilauri ya maji vuguvugu. Rudia mchanganyiko huu
kabla ya kulala. Wakati wa kipindi cha baridi kinapokaribia, ambacho
kinaambatana na mazoezi machache, kuongeza hivi vitu viwili vya asili katika
chakula ni muafaka. Pia kinywaji hiki vuguvugu kimeshahakikishwa na wataalamu
wa lishe kwamba hupunguza hamu ya kula pamoja na kuleta joto mwilini.
Tumia Mdalasini na Asali kupunguza uzito.
Jinsi ya kufanya maandalizi ya mchanganyiko huu:
a. Loweka kijiko kimoja cha chai chenye Mdalasini
wa unga ndani ya kikombe cha maji ya moto yaliyochemshwa.
b. Koroga kisha funika na Uache kwa muda wa Nusu
saa.
c. Baada ya nusu saa chuja kuondoa pumba ya
mdalasini kisha weka kijiko kidogo cha Asali.
d. Kunywa asubuhi kabla ya kula kitu chochote nusu
saa kabla ya kifungua kinywa, rudia hivi ndani ya wiki kadhaa kwa matokeo bora.


Nataka kutoa ushuhuda kuhusu jinsi nilivyopona kutokana na Virusi vya Herpes. Miezi michache iliyopita nilikuwa na dalili kadhaa. Nilienda kumuona daktari na vipimo vingi vya damu vilifanywa kwangu, baadaye niliambiwa nilikuwa na Herpes. Daktari wangu aliniambia kwamba hakuna tiba ya Herpes. Nilijisikia vibaya, niliingia mtandaoni nikitafuta tiba inayowezekana ya Virusi vya Herpes, niliona chapisho la Dkt. Dawn, daktari wa mitishamba anayewasaidia watu kupona kutokana na Herpes. Saratani. VVU na mengineyo. Niliwasiliana naye na kumwambia jinsi ninavyohisi. Alisema dawa yake ya mitishamba inaweza kuniponya. Alinitumia dawa kupitia huduma ya utoaji wa UPS na nilipokea dawa siku 6 baada ya kuituma, nilichukua dawa kama alivyoniagiza. Kabla sijakamilisha dawa dalili zilisimama. Nilienda kwa daktari na kufanya kipimo kingine cha damu, cha kushangaza nilikuwa hasi. Sijapata dalili tena. Dkt. Dawn ni mzuri na unaweza
ReplyDeletekuwasiliana kwenye WhatsApp: +2349046229159
Gmail ( dawnacuna314@gmail.com )
Ikiwa unahitaji dawa za mitishamba kutibu magonjwa yoyote sugu au ya zinaa kama.
HERPES.
SARATANI.
VVU/UKIMWI na zaidi