DailyvalueHatch
Incubator
(dht dv Model 120)
Max no. of
chicks hatched Per Month:
|
120 Eggs
|
Potential
INCOME Generated Per Month:
|
Tsh 132,000.00
|
Egg Types:
|
Chicken,
Quail, Duck, Guinea Fowl, Parrot, Pheasant
|
Item In
Stock:
|
YES!
|
Exported to:
|
Home
|
Low Capital Input - High Return on
Investment!
Je unahitaji uzalishaji mdogo wa vifaranga au unataka kuanza biashara
lakini mtaji ni mdogo! Kama ni hivyo basi hii ni incubator itakayo kufaa wewe!
dailvalueHatch Model dv 120 ni incubator ambayo inafaa sana kwa
uzalishaji mdogo wa mayai ya kuku, bata, kwereakwerea, kasuku nk. Inayo uwezo wa kutoa vifaranga 120 kwa
mwezi nah ii inamaana unaweza kuapata faida ya shilingi 132,000/= kwa mwezi
kama utakuwa unauza vifaranga unavyozalisha.
Special
Features: dailyvalueHatch Model dv 120 Combo Egg Incubator
Ac-Q-Temp™ Electronic Thermostat
Uthibiti wa uhakika wa joto la ndani ya incubator kw Asilimia mia moja 100% ili kufanya uzalishaji bora na makini.

Automatic Egg Turning System
Automatically Egg turning system Hauhitaji kugeuza mayai ila kipo kifaa maalum ambacho hugeuza mayai kwa muda uliopangwa hivyo hauhitaji kugeuza kwa kipindi chote utatakapokuwa umeweka mayai.

Opti-Flow™ Air Circulation System
kifaa maalumu cha kudhibiti hali ya unyevunyevu ndani ya Incubator ili kuhakikisha unazalisha vifaranga vyenye ubora wa kimataifa na guarantee kwa wateja wako.

Smooth-Glo™ Mfumo wa Uzalishaji Joto Ktk Incubator.
Joto huzalishwa na Smooth-Glo™ globes ambazo ni rahisi kubadilisha na zina ghalama nafuu, hizi hutoa joto Mujarabu na hivyo kusaidia mayai yasipatwe na joto lisilo faa au lisilo hitajika, Smooth-Glo™ globes zinauwezo mkubwa na pia hudumu kwa muda mrefu zaidi ya globes za kawaida.

Real-Temp™ Thermometer and
Hydrometer
Vipimo vya uhakika vya joto na Unyevunyevu vitaweza kurekodiwa na kuleta matokeo mazuri sana.

Clear-View™ Dirisha la kutazamia
Tazama vifaranga wakati wakianguliwa ndani ya Incubator yako kupitia kidirisha cha kioo pasipo kufungua mlango wa Incubator.

Durable-Design™ Ujenzi Madhubuti wa Incubator.
Tunatumia vifaa madhubuti katika utengenezaji Ili kuifanya Incubator hii iweze kudumu kwa muda mrefu. Pia inaweza kuendelea fufanya kazi kwa masaa sita 6 hours zaidi pale ambapo umeme utakuwa umekatika.

DailyvalueHatch Incubators inaweza kuoshwa ndani kwa asilima100%
Ni rahisi kuiweka Incubator yako katika hali ya usafi na Usafi hufanya Uzalishaji bora wa vifaranga.

2 Year Warrantee on all our incubators
Nunua ikiwa na Uhakika ndani ya ufahamu wako tuna maana tunakupa guarantee.

Maelekezo ya kutosha na jinsi ya kupanga biashara pia Tunakupaia taarifa zote muhimu na za msingi unazohitaji ili kuanza mradi
wako ama biashara.
Haihitaji Uzoefu wala Utaalamu wa kipekee bali mtu YEYOTE ANAWEZA!
Dimensions: 35 cm High x 45 cm Deep x 45 cm Wide
Weight: 7 Kg
Power Useage: 220V Single Phase, 80 Watts
Chumba cha Incubators: Incubators inahitaji kuwekwa kwenye chumba chenye
hewa ya kutosha na iliyo katika mzunguko safi Hali joto iwe kati ya njuzi joto
15 na 25 degrees celcius
Bei gani hii mashine,na inapatikana wapi?
ReplyDelete