Maradhi ya muda mrefu na mfupi yanasababisha vifo huweza kuponywa
kwa urahisi sana kwa njia iitwayo ‘water therapy’ Utafiti uliofanywa na madaktari wa
kijapani na kuchapisha makala juu ya njia hiyo. Na Ikiwa njia hiyo itafuatwa
huweza kuponya maradhi yafuatayo:-
-Kuumwa
kichwa, shinikizo la Damu, Upungufu wa Damu, kupooza, mapigo ya kasi ya moyo na kuzimia.
-Kikohozi,
pumu , kifua kikuu.
-Kiungulia,
kuharisha damu, kabdhi, bawasili na kisukari.
-Matatizo
ya macho.
-Matatizo
ya pua, masikio na koo.
JINSI YA UTAYARISHAJI NA UTARATIBU WA
TIBA HII YA MAJI.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgXqwqKKN_ev0mdaeVkMU3bS3OPxSj3qBzN2bowWcmAr44wSo3AehrvsJJ4B-rPUBgJMURV-eFvS6z-Vva4aUdjVdYbPD6ojtocF4ywLoJO0FY3aq3Dsr7ggri4z7jVdW6lz-kSLn-lziuY/s200/maji+2.png)
Kwa wale ambao ni
wagonjwa hali zao kiafya ni dhaifu wanashauriwa kuanza Utaratibu huu kwa kunywa
bilauri moja au mbili za maji na pole pole wanaongeza idadi ya mpaka kufikia
bilauri nne. Kwa kweli Kama Mpango huu utafuatwa ipaswavyo basi Itakuwa ya msaada
mkubwa sana kwa afya , pia inaonyesha kuwasaidia watu wengi kwa kujenga Afya zao
na kuwaponya kwa kipindi kifupi sana.
Tafiti zinaonyesha
kuwa Mpango huu unaweza kutibu Maradhi mbalimbali na baadhi ya stadi zimebainisha Muda ambao aina Fulani
ya Ugonjwa utaweza kupona kwa kufuata utaratibu huu:-
Muainisho wa magonjwa na muda wa matibabu:
·
Shinikizo la Damu --mwezi mmoja
·
Matatizo ya Gesi --siku
kumi
·
Kisukari --mwezi
mmoja
·
Kufunga choo --miezi sita
·
Kensa/ salatani --miezi sita
·
Kifua kikuu --miezi mitatu
·
Wengine ni mara moja tu kwa siku.
·
Wasioweza kunywa bilauri nne kwa mara moja wanashauriwa waanze na bilauri moja ama mbili na pole pole
wafanye jitihada ya kufikia lengo la bilauri nne kwa siku. Kama ilivyo ada kila
jambo mwanzo huwa ni gumu hali kadharika hata Utaratibu huu kwa wale wanaoanza huleta
shida kidogo hasa pale mtu anapo kwenda haja ndogo mara kwa mara ila hali hii
hurejea kawaida baada ya siku tatu hadi nne hivi.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjlPaRGD6OqQMWBS-wrZ9Zu_BnPC-3jfbEqpOYz_cDfSulAYfkpgNNcf1Yj6G26LmN_SzqDCTGA4cgT7IV-sD9puN9yd3dYj6jJ3oiFO41Js_RvtVzef7wGNYGefzCPo2DvwPOz-p3fiw0V/s1600/STAR.png)
No comments:
Post a Comment