1.Ukavu wakati wakupata Haja kubwa
2.Maumivu wakati wa kupata haja kubwa
Madhala ya Hali ya kupata choo kigumu:
- Kutokewa na nyama za njia ya haja kubwa
- Kupatwa na Tundu katika njia ya haja kubwa
- Eneo la mwisho kabisa la utumbo mkubwa kutoka nje!(Rectal prolapse)
- Kuwa na hali ya kutokwa na haja kubwa pasipo uwezo wa kujizuia. (Faecal incontinence)
- Kutokujisikia vizuri (Feeling uncomfortable)
- Kutokwa na Damu katika njia ya haja kubwa ama choo kilichochanganyika na damu
MATIBABU YA HALI YA KUPATA CHOO KIGUMU (TREATMENT OF CONSTIPATION)
1. Matibabu ya Nyumbani:
- Chai ya Tangawizi ni nzuri sana kwa kutibu hali, husaidia mwenendo wa misuli ya tumbo..
- Mzoezi ya mara kwa mara ni muhimu kuondkana na hali hii ya kupata choo kigumu.
- Guava/ pela likiliwa na mbegu zake katika husaidia kupunguza constipation .
- Tumia Matunda zaidi katika Mlo wako kama pears, grapes, juice ya machungwa na Papai
- Pia unaweza kuweka kiasi kidogo cha Asali kwenye Glasi ya maziwa na unywe mara mbili kutwa NB: Maziwa na Asali yakiwa ya uvuguvugu huleta Usingizi.
- Apply 3 ¡V 4 drops of lukewarm castor oil over the navel at night. In the morning, the patient will pass the stools.
- Soak 6-8 raisins in hot water. When cool, crush well and strain. When given routinely even to little infants, it helps to regulate bowel movement.
- Kula Apple Mbili na maganda yake wakati hujala kitu chochote.
- Dissolve 1 tablespoons of honey in 1 cup of lukewarm water and drink on an empty stomach in the morning.
- Kunywa Juisi ya karoti hii ni nzuri sana hasa kwa watoto (Drink carrot juice. It is a very tasty remedy, especially for kids).
- Tumia kitunguu maji pia kwa kula.
No comments:
Post a Comment